Makelele ya CHADEMA yamkalisha JK nchini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makelele ya CHADEMA yamkalisha JK nchini.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kinyungu, Jun 6, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Kwenye kipindi chake cha kwanza cha utawala JK alijulikana kwa majina kama Vasco Dagama, Magellan, Columbus n.k kutokana na kusafiri karibu kila mwezi kwenda Ulaya na US kwa madai ya kwenda kutuombea misaada. Kuna wakati alitokomea huko US kwa zaidi ya mwezi.

  CHADEMA na wapinzani wengine kama CUF walipiga kelele sana kutokana na ufujaji wa kodi za raia JK aliokuwa akifanya kwenye safari zake hizo zisizo na tija kama za kutembelea ofisi za google na kubembea kule kwa wapiga msuba Jamaica. Kwa sasa tangu achaguliwe sijamsikia JK kaenda US au EU. Je ni makelele ya CHADEMA na kina CUF yamemtuliza JK nchini au nchi imefilisika hadi hana hata hela ya mafuta?
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  JK ni msikivu. Akionywa anaweza kujirekebisha.
   
 3. B

  Beethoven JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hakuna cha usikivu wowote huko US na Ulaya nako wamemchoka maana wanashangaa resource zinvyotapanywa wakati wao wanatumia kodi za wananchi wao kutupa misaada.
  Shame!!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hivi kipindi kile alikaa sana us alikuwa anakaa white house?
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  WH wapi alikuwa anakula gud time miami na LA!
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kama unaamini ni msikivu, mshauri lolote kuhusu mapacha watatu uone iwapo atakusikiliza.
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka kama wahisani walimgomea kuhusu hili...
   
 8. c

  chumakipate Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nako wahisani wamechoka na kumwuuliza TUKUSAIDIE NINI BRO...aah hata mimi sijui anajibu.
   
 9. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mmmh acheni apumzike alikuwa anahaha kutafuta ankara ili amalizie ujenzi wa ghorofa lake lililoko maeneo ya Upanga kama unakata kona ya kuelekea Muhimbili National Hospital.

  Lililopewa jina la SWISS-TOWER, pia ujenzi wa hotel kubwa na ya kifahari iitwayo Malaika iliyopo Mwanza ktk wilaya ya Ilemela kando kando ya ziwa Victoria na Hotel yake JK iliyopo ktk Hifadhi ya Serengeti.
   
 10. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  NB- Malaika Hotel ni ya mama Salma JK
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Amsikilize nani..??? Kesha waambia hajui umasikini unatokana na nini....!!! na vile vile MATATIZO ALIYAKUTA NA ATAYAACHA..................
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  labda msikivu kwa mkewe Salma . Hana lolote, member of kilaza dot com.
   
Loading...