Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,695 Reaction score 76,845 Jun 14, 2019 #21 Burget 2019-2020 Tumeongeza 10% Ya Kodi Kwenye Nywele Bandia Na Wig
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,953 Reaction score 5,829 Jun 14, 2019 #22 Kwa namna hii, ratiba yangu ya kesho itabidi niivunje nihudhurie tu
The mgusi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 221 Reaction score 447 Jun 15, 2019 #23 mbona hao ni watu wawili tofauti au macho yangu
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,825 Jun 15, 2019 #24 nguvu ya unga unga na majimmaji usoni si habaa
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,861 Reaction score 8,525 Jun 15, 2019 #25 haya mambo yalisababisha nishobokee demu mwenye pengo af wa ajabu..ilibidi nisingizie msiba ili kumkimbia
haya mambo yalisababisha nishobokee demu mwenye pengo af wa ajabu..ilibidi nisingizie msiba ili kumkimbia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,089 Reaction score 196,801 Jun 16, 2019 #26 Inasikitisha sana... Cc: mahondaw
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,096 Reaction score 75,541 Jun 17, 2019 #27 glass amo said: alie elewa anisaidie Click to expand... Ukitaka.demu asilia muone asubuhi akiamka kabla.hata hajapiga msawaki
glass amo said: alie elewa anisaidie Click to expand... Ukitaka.demu asilia muone asubuhi akiamka kabla.hata hajapiga msawaki
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,389 Jun 17, 2019 #28 Hahaa kweli aise Papushikashi said: Magufuli tunaomba umurike na huku tunaibiwa sana Click to expand...
Hahaa kweli aise Papushikashi said: Magufuli tunaomba umurike na huku tunaibiwa sana Click to expand...
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,389 Jun 17, 2019 #29 Indeed Mtende said: Makeup ni temporary beauty..cha msingi kila mtu ajikubali Click to expand...