Make Tanzania Great Again (MATAGA)

Mimi ni MATAGA ila Nina nyumba tatu, viwanja 3, mbuzi 50, ekari 20 za miti gari 1 na bando Nina GB 20 sijawahi kula hela CCM walakupokea hela kutoka kwa magufuli ili nimsifie usikaririshwe na hao wanaokutuma ukadhani wote wanaomsifia magufuli wananjaa kama ulizonazo acheni kuwaza ujinga fanyeni kazi. Na bado nasema hivi MATAGA
 
Tatizo ni kutokujua lugha ya malkia, kama huko nyuma ilikuwa ya hovyo neno again lina maana gani? Ushamba ni mzigo kuanzia juu mpaka xhini
 
Ni vigumu sana kutenganisha MATAGA na njaa ya kisurisuri
 
Nadhan hawajui tu kama mtu hawezi kuanguka kama hajawahi kusimama
Sasa eti "make tanzania great again" as if ishawah kua great hapo awali nadhan tunaiga tu hata context zisizotuhusu sisi tungeishia tu kwenye MAKE TANZANIA GREAT ili tusimame na tukija kuanguka ndio tuitumie sasa hio again sometimes ni aibu sana kuish na mapimbi nchi moja
 
Wewe ndo mjinga ulivevunja rekodi jamiiforum 2019/20.unafikiri unaweza kufanya kazi ktk nchi yenye Sera za ovyo kama hii???
 
Wamevutiwa na nini kukopi kwa MABEBERU?
 
Wewe ndo mjinga ulivevunja rekodi jamiiforum 2019/20.unafikiri unaweza kufanya kazi ktk nchi yenye Sera za ovyo kama hii???
Mtaishia kupiga kelele za njaa zenu na wenzio tunafanya kazi na pesa tunapata kwenye nchi hii hii sasa endelea kupiga kelele Sera za ovyo hata nikikuuliza ni Sera gani hiyo ya hovyo huna majibu. Pole sana kijana Fanya kazi acha kelele
 
Ni vigumu sana kutenganisha MATAGA na njaa ya kisurisuri
Kati yangu na wewe nani mwenye njaa ndeleeni kupiga kelele sisi tunapeta na CCM mbele kwa mbele na Magufuli mbele kwa mbele
 
Make Tanzania Great Again pia neno lina maana yke kwa kisukuma subir watu wa chato waje watueleze mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…