Make It Rain,ni neno linalotumiwa na wamwabuduo shetani katika kutafuta pesa

Stanboy

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,115
1,300
Habari wanaJf?
Nimekuwa nikisikia neno hili likitumika sehemu mbalimbali na watu wenye mafanikio makubwa katika utafutaji wa pesa,je neno hili lina uhusiano wowote wa kishetani?
Anayejua atutaarifu tafadhali,
Asante
 
....I make it .......... Got ...... Full of stacks You better grab an umbrella, I make it rain on the hoes.......! Nafikiri ni maneno yanayotumiwa na watu wenye pesa nyingi, wakimaanisha kutumia pesa nyingi kula good time na pia kugawa hizo pesa na watu wao wa karibu kama marafiki utadhani Dunia inafika mwisho kesho hivyo ponda mali kufa kwaja. Sijui kama kuna suala la shetani hapo. Sidhani, ni watu kula good time to the max!! Spend, spend, spend ndo kauli mbiu!!
 
Nimehudhuria tafrija nyingi za watu wenye pesa na kusikia wakitumia neno hil,i thought ni la kishetani sababu nishawahi kusikia hivyo so nikatatka nishare na nyie to verify it
 
Habari wanaJf?
Nimekuwa nikisikia neno hili likitumika sehemu mbalimbali na watu wenye mafanikio makubwa katika utafutaji wa pesa,je neno hili lina uhusiano wowote wa kishetani?
Anayejua atutaarifu tafadhali,
Asante

Rain man ni miongon mwa majina mengine ya Shetani, wakisema make t rain huku wanamwaga zikianguka toka hewani means they worship rain man hawape blessings.
 
....I make it .......... Got ...... Full of stacks You better grab an umbrella, I make it rain on the hoes.......! Nafikiri ni maneno yanayotumiwa na watu wenye pesa nyingi, wakimaanisha kutumia pesa nyingi kula good time na pia kugawa hizo pesa na watu wao wa karibu kama marafiki utadhani Dunia inafika mwisho kesho hivyo ponda mali kufa kwaja. Sijui kama kuna suala la shetani hapo. Sidhani, ni watu kula good time to the max!! Spend, spend, spend ndo kauli mbiu!!
Fat Joe ft Lil Wayne.....
 
Habari wanaJf?
Nimekuwa nikisikia neno hili likitumika sehemu mbalimbali na watu wenye mafanikio makubwa katika utafutaji wa pesa,je neno hili lina uhusiano wowote wa kishetani?
Anayejua atutaarifu tafadhali,
Asante

Mkuu.......kichwa cha habari kinakuwa kama unatuelezea..........tumbo la habari unatuuliza........sasa sikuelewi........
 
Hakuna shetani.

Shetani ni hadithi tu.

Make it rain wanasema strippers ukiingia strip club halafu huwatuzi.
 
Hakuna shetani tena?
Another discussion..siwezi kupingana na wewe maana hilo ni suala la kiimani zaidi
 
Back
Top Bottom