haha na hapana mkuu iyo sio madhumuni yangu. Ata hvyo siwezi nikajua account yako na iyo link au inauyo input iyo status sio mimi bali ni facebook wenyewe mimi nilichofanya nikutengeneza app ambayo itasema ivo. Leta nikirud hom kwenye pc nitaonyesha jinsi utakayo fanya hii na kuweka maneno unayotaka.Kwa hiyo wewe ni muintelejensia??unataka kujua hata akaunti zetu za fesibuku??no no no!
Nauliza hivi: Nikipost kitu humu kama Mwali, alafu FB status yangu inaonesha kua XXX (jina langu halisi) amepost .... on facebook, huoni kama anonymous status yangu iko hatarini?Cjakupata apo???
Yani ni kwamba hamna link yoyote au connection ya account yake na jf ni maneno tu ambayo yatatokea.. Na pia kule ikiandika via jamiiforums mtu ataweza kujua upo jamiiforums lakini there is no way akajua ninani wa jf.. Kama nilivosema ni maneno tu hamna connection yoyote.Nauliza hivi: Nikipost kitu humu kama Mwali, alafu FB status yangu inaonesha kua XXX (jina langu halisi) amepost .... on facebook, huoni kama anonymous status yangu iko hatarini?
Alafu nikaongeza: hiyo itamfaa dada Neema (a JF member) ambae amesha unganisha ID yake ya JF na ya FB.
Umenipata sasa?
na kutuwezesha kujua majina ya ukweli wa membaziyo via jf itasaidia sana kutangaza chama letu humu.
ooh hapa nimeelewa sasa..Yani ni kwamba hamna link yoyote au connection ya account yake na jf ni maneno tu ambayo yatatokea.. Na pia kule ikiandika via jamiiforums mtu ataweza kujua upo jamiiforums lakini there is no way akajua ninani wa jf.. Kama nilivosema ni maneno tu hamna connection yoyote.
Alafu watu wa uraiani wanijue kua mimi Mwali ndio fulani wa facebook? Mwambie Neema ambae aliunganisha ID yake ya JF na FB