Makazi Ya Polisi Rombo - Miaka 50 ya Uhuru

Acha wakae humo humo. Tena ingefaa kwa juu ziezekwe nyasi ili mvua ikipiga ziwavujie. Hawana maana hao hata kidogo. -Wanavyotuua mara kwa mara,
-kutudai rushwa,
-kutubambika kesi,
-kutudhulum mali zetu na kuziuza,
-kuiba vielelezo kama madawa ya kulevya wanayokamata,
bado unataka wakae kwenye nyumba nzuri kwa lipi jema?
 
Komeo inabidi utoe new edition ya signature yako.

Tumeendelea siku hizi. Siyo tena liwalo na liwe.
 
Hii mijibwa koko pamoja na tabu zote hizi wanazozipata lakini bado wanawalamba miguu ccm, kweli awa ni ma-mbwa koko...
 
Shule hakuna,uelewa hafifu,wanapiga na kuua ndugu zao bila kufikiria hadhi ya wanao watuma,wacha wakae humohumo,wameshindwa kujipigania hata wenyewe,ila mabingwa kupiga wenzao,sasa sisi tutawasaidiaje?
 
PolisiTza Ni mbuzi...hufuata anachotaka Mchunga mbuzi....
Hawawezi kubadilika,kamwe.
 
Shule hakuna,uelewa hafifu,wanapiga na kuua ndugu zao bila kufikiria hadhi ya wanao watuma,wacha wakae humohumo,wameshindwa kujipigania hata wenyewe,ila mabingwa kupiga wenzao,sasa sisi tutawasaidiaje?

JF ni hazina inayofunua mampya na ya kale, shukurani kwa aliyeturudishia hapa ile kitu hawa wapiga virungu mazingira ya maisha yao yanavyotia uchungu. Labda wangewageuzia virungu wambao wanawaweka katika mazingira hayo wakati walipa kodi wanamwagia serikali ya CCM pesa kila kukicha.
 
Back
Top Bottom