Makavu Live - Mwanaume Jitume

Makavu Live - Mwanaume Jitume

C: Et baby nikitugani hasa unatamani nikufanyie kitandani? "Pumbaff" swali gani hlo inabidi mtu ujue mwenyewe umfanyie yote maana hakuna jipya atakalo niambia yote ni yale yale tu labda atake nimleT ndicho nisichojua
 
duniani kuna mambo kwani hakikuuliza kuna ubaya gani ati hahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Shida ni kuwa makungwi wengi ndoa zimewashinda. Sasa mtoa mada isije kuwa na wewe unafunda(which is great) lakini huyaishi unayowafunda wenzako...
 
Shida ni kuwa makungwi wengi ndoa zimewashinda. Sasa mtoa mada isije kuwa na wewe unafunda(which is great) lakini huyaishi unayowafunda wenzako...
Sijui kwanini wengi Wa makungwi huwa wameachika???
 
Maguful alivyo bana bada tusaidiane kulea familia bal nikutunze mshahara wako ww ni wa kaz gan?kulelewa tu kama mizigo hata kama ndo nogesho la mapenz kaaa na nigoshooo lako chaaa
 
Yule tajiri akamuuliza Yesu, Bwana nifanye nini ili niurithi uzima wa milele? Yesu naye akamuuliza unazijua amri za Mungu? naye akajibu kuwa anazijua na kuzishika tokea utoto wake, Yesu akamwamuru achukue mali zake zote awagaiye maskini hlf amfuate....hivyo naomba nami nikufuate baada ya kuwa nimezishika na kuzifuata amri zako zote hapo juu.
 
Muulize ni kitu gani hasa anatamani umfanyie kitandani:
Kila mtu ni tofauti inapokuja kwenye swala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke anapenda kutoka kwako ni kumuuliza.
Hapa panatia ukakasi kidogo. Msome mtu wako umjue, maswali achia wanafunzi.
 
nawapa makavu nyie kwanza mpaka mbadilike ndiopo nihamie kwa wanawake maana naona mmeshindwa kazi yenu
Nyie mnaoweza kazi zenu za kutoza ushuru na kujipodoa alafu kitandani mnajilaza tuu kama maiti ya mgomba wa ndizi boko boko nyaaambaaafuuu
 
nawapa makavu nyie kwanza mpaka mbadilike ndiopo nihamie kwa wanawake maana naona mmeshindwa kazi yenu
Kwenye majukumu ndiyo mnatambua siye kichwa cha nyumba?? .

Muache viburi na jeuri, mnajus majukumu tuliyo nayo kwanza kuchokonoa mitaro yenu hapo kati mkafurahie bado mnatukera..
 
Shida ni kuwa makungwi wengi ndoa zimewashinda. Sasa mtoa mada isije kuwa na wewe unafunda(which is great) lakini huyaishi unayowafunda wenzako...
hahahahaaaaaaaaaaaa bestito umeniacha hoi mm ndoa yangu haijainishinda basi nimeona niwafunde wenzangu hapa kijiweni

best unajua raha iliyopo kwenye ndoa kuna raha sana huko asikwambie mtu hahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom