Makavu Live - Mwanaume Jitume

Makavu Live - Mwanaume Jitume

hiyo D sijui ungetumia speaker kabisa ili wasikie vizuri
Hapo umenena, hata mimi inanikera mno...utakuta msela anakuja forum na kusema...Nimegegeda manzi mwenye papuchi kama mtera,,,,seriousily??? gash!!!.
 
TOBAAAAAA!!!!!

KUNGWI WE. Kuna mambo yanayonitatiza kuhusu ukungwi. Kwa nini mnapotoa mafunzo yenu msijitahidi kutumia "TAFITI" kama hadidu rejea, kwa mwendo huu wa digitali unachosema ni hisia zako na si uhalisia.

Ni vizuri pia mkajibooresha kwa kuwa watu wenye maarifa na weledi juu ya ulimwengu huu maana hoja za makungwi ni zile zile miaka nenda miaka rudi
 
nawapa makavu nyie kwanza mpaka mbadilike ndiopo nihamie kwa wanawake maana naona mmeshindwa kazi yenu
Hongera kwa kuwapa somo hasa Vijana wa Saridalama maana wanapapasa na kutoheshimu kazi za wanawake unakuta wanatupa wengine majukumu ya kuwasadia kwa kumalizia kazi kikamilifu.
Ukweli zaidi shida kubwa sasa ni Ukosefu wa Nguvu za Kiume hasa kwa wapenda vilaini,ugumu wa maisha,stress,milo hafifu isiyo na virutubisho n.k
Ni lazima mwanaume ili kufanya kazi ya watu vizuri ni lazima aweze kuwa Physical na Mental Fit,vinginevyo work done= Zero.

Utamuandaa lakini Dushelele moko chali kama bata wakati Chura anabakiwa na Kiu na mahamu ya Kutosha.
Simply men let change and struggle to Restore our Respect and do our Reponsibilities Effectivelly & Effeciently.
Ukweli Madem wa Saridalama wanakiu mno na kuna uhaba sana wa kupata dushelele ya uhakika kupita Majiji au Mikoa Mingine na hii ni kutokana na sababu chache za hapo juu nilizozitaja.
 
TOBAAAAAA!!!!!

KUNGWI WE. Kuna mambo yanayonitatiza kuhusu ukungwi. Kwa nini mnapotoa mafunzo yenu msijitahidi kutumia "TAFITI" kama hadidu rejea, kwa mwendo huu wa digitali unachosema ni hisia zako na si uhalisia.

Ni vizuri pia mkajibooresha kwa kuwa watu wenye maarifa na weledi juu ya ulimwengu huu maana hoja za makungwi ni zile zile miaka nenda miaka rudi
nimefanya tafiti sana na na wala sijakurupuka mkuu mna tabia hizo mjirekebishe atiii

mama mfundaji kungwi niliyebobea siandikagi vitu nisivyofanyia utafiti mkuu kuwa mweledi na muelewa
 
Hongera kwa kuwapa somo hasa Vijana wa Saridalama maana wanapapasa na kutoheshimu kazi za wanawake unakuta wanatupa wengine majukumu ya kuwasadia kwa kumalizia kazi kikamilifu.
Ukweli zaidi shida kubwa sasa ni Ukosefu wa Nguvu za Kiume hasa kwa wapenda vilaini,ugumu wa maisha,stress,milo hafifu isiyo na virutubisho n.k
Ni lazima mwanaume ili kufanya kazi ya watu vizuri ni lazima aweze kuwa Physical na Mental Fit,vinginevyo work done= Zero.

Utamuandaa lakini Dushelele moko chali kama bata wakati Chura anabakiwa na Kiu na mahamu ya Kutosha.
Simply men let change and struggle to Restore our Respect and do our Reponsibilities Effectivelly & Effeciently.
Ukweli Madem wa Saridalama wanakiu mno na kuna uhaba sana wa kupata dushelele ya uhakika kupita Majiji au Mikoa Mingine na hii ni kutokana na sababu chache za hapo juu nilizozitaja.
asante mkuu kwa kuliona hilo hali hii sio kwa saridalam pekee ni tanzania kwa ujumla na hata nje ya tanzania pia
tatizo hili la wanaume kutokufanya kazi zao kikamilifu lipo mkuu kotekote
 
Humu thread za kusumbua wanaume haziishagi tu...Argghhh!
 
What do I get after all that!?? hata mfanyiwe nini, kuchepuka mmeshindwa kuacha
 
Unaruka kusoma maandiko,.... "Wanaume wapendeni wake zenu, na wanawake MUWATII waume zenu'".... Nyie mnataka kupendwa, lakini utii kwa waume zenu ni ZERO NYEUSI. .... Hatuoni sababu ya kuwapenda kwakua mnajua kila kitu na wabishi saaana. Mnawaza kumtenda mwanaume kila siku..... SIJAONA JAMBO LOLOTE JEMA AMBALO UTAMFANYIA MKE AKAKUHESHIMU " watu washasomesha wakaishia kupata kifo, washanunulia magari, nyumba, washasafirisha kila nchi, mwisho ni maumivu tu... Mnatafuta kupendwa lakini ummejisahau saaana. Twende hivihivi tutafika...
 
Dada siku izi kuna 50/50
na mi NGOs yenu iyo ya kutaka haki sawa.So kuweni wapole tu
 
nimefanya tafiti sana na na wala sijakurupuka mkuu mna tabia hizo mjirekebishe atiii

mama mfundaji kungwi niliyebobea siandikagi vitu nisivyofanyia utafiti mkuu kuwa mweledi na muelewa

Tupe huo utafiti wako au utupe walau "Picha". Mfano katika utafiti wako ulihoji/uliweza kufikia watu wangapi? Umri au Rika la hao watu. Hao watu ni watu wa maeneo yapi? ( Vijijini au mijini). Je, shughuli zao za kujipatia kipato ni zipi? Maana utamaduni wa mvuvi "automatic" ni tofauti na wa mfugaji.

NB: Samahani kwa maoni yangu maana "makungwi" wengi kama sio wote huamini wao ni "Alfa na Omega".
 
Kuja tu kila kitu Utapata kutoka Kwangu

Misosi ya Maana .
Minguo, miviatu mizuri
kila kitu chenye unataka utapewa muda wowote.
Maandalizi ya Game not less than 30 ' mpaka useme mwenyewe.

Makanya Mtoto.
 
Tupe huo utafiti wako au utupe walau "Picha". Mfano katika utafiti wako ulihoji/uliweza kufikia watu wangapi? Umri au Rika la hao watu. Hao watu ni watu wa maeneo yapi? ( Vijijini au mijini). Je, shughuli zao za kujipatia kipato ni zipi? Maana utamaduni wa mvuvi "automatic" ni tofauti na wa mfugaji.

NB: Samahani kwa maoni yangu maana "makungwi" wengi kama sio wote huamini wao ni "Alfa na Omega".
kumbe unajua sisi ni alfa na omega sasa unataka udhibitishiwe na ni inini rafiki?
 
penye shda zao ndo utaskia ooooooooh hiki mara ooooooh kile
wote fanyen kaz
 
Back
Top Bottom