Makavu live kwa watumiaji wa whatsapp

Makavu live kwa watumiaji wa whatsapp

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,673
Status za wazungu whatsapp
-Sick
-At movies
-Jogging
-Studing
-At meeting
-Happy
-Bussy
-Parry
-Available
-Shopping

Status za wabongo
-Kantangazee,ndo kwnza naanza
-I love so much my only no 1 lyk u honestly
-We ndo roho yangu
-Asante vimenitosha tena kama ulijua
-bei nafuu tu
-pole jaman utapona tu wangu
-Utalijua jiji
-Jamani sitakuwepo kwa muda miss u so much
-chezea mie ww

Sasa jamani hizi za wabongo ni status,nyimbo,hadithi,sms au barua.
 
hy n kawaida ya wabongo
 
maneno ya kizungu yana maana pana kuliko ya kiswahili ndo maana,japokua wakat mwingine wabongo tunachemka.....
unachokifanya au kuhisi(feeling)ndo status yako
 
Kwanilazima tuishi kwa kokopi toka kwa Wazungu?! Status inategemea na Mazingira pia.
 
mtoa mada usisahau kwamba kila sehemu watu wake wana style yao ya maisha. Na hii inatokana na mfumo mzima wa maisha pamoja na mazingira. Tofauti hizo zinaonekana kwenye mavazi, vyakula, burudani, mfumo wa elimu na mengine mengi. Kwahiyo hatuwez kufanana kwa kila kitu.
 
Status za wazungu whatsapp
-Sick
-At movies
-Jogging
-Studing
-At meeting
-Happy
-Bussy
-Parry
-Available
-Shopping

Status za wabongo
-Kantangazee,ndo kwnza naanza
-I love so much my only no 1 lyk u honestly
-We ndo roho yangu
-Asante vimenitosha tena kama ulijua
-bei nafuu tu
-pole jaman utapona tu wangu
-Utalijua jiji
-Jamani sitakuwepo kwa muda miss u so much
-chezea mie ww

Sasa jamani hizi za wabongo ni status,nyimbo,hadithi,sms au barua.

kwan lazma tuwaige wazungu....usiwe bendera kufuata upepo
 
Tunapaswa kujivunia chetu tusiabudu vya wazungu. Hii ndiyo staili ya maisha yetu si kila cha mzungu ni chema.
 
Status za wazungu whatsapp
-Sick
-At movies
-Jogging
-Studing
-At meeting
-Happy
-Bussy
-Parry
-Available
-Shopping

Status za wabongo
-Kantangazee,ndo kwnza naanza
-I love so much my only no 1 lyk u honestly
-We ndo roho yangu
-Asante vimenitosha tena kama ulijua
-bei nafuu tu
-pole jaman utapona tu wangu
-Utalijua jiji
-Jamani sitakuwepo kwa muda miss u so much
-chezea mie ww

Sasa jamani hizi za wabongo ni status,nyimbo,hadithi,sms au barua.

Sisi sio wazungu
 
mtoa mada usisahau kwamba
kila sehemu watu wake wana style yao ya maisha. Na hii inatokana na
mfumo mzima wa maisha pamoja na mazingira. Tofauti hizo zinaonekana
kwenye mavazi, vyakula, burudani, mfumo wa elimu na mengine mengi.
Kwahiyo hatuwez kufanana kwa kila kitu.

sikuwa na maana tuige,maneno kama "kantangazee"sio status,kuna tofaut kat ya status na feeling,wabongo tunaandka feeling sio status
 
Big like

Back
Top Bottom