makatunisti bhana

KML

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
861
Reaction score
134
Eti mke kamkunja mme wake uku anampiga alafu anamwambia
Mke: (kofi) niahidi kama utaacha kuleta malaya zako humu ndani kwangu
Mme: (uku akilia) nakuahidi mke wangu sitoludia tena kuleta wanawake ndani kwetu nakuahidi ntakua nawapeleka gesti
 
Mwingine yupo na mpenzi wake bar mke anamuuliza
Demu: dear mbona unakunywa pombe kwa masikitiko ivyo
Mshikaji😛esa ya marejesho ya mkopo wa pride hii ndo nainywea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…