Makato ya Mshahara: Tusaidiane kukotoa

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Tafadhali wandugu tusaidiane kukokotoa mahesabu ya mshahara hapo chini kama yapo sawa. Ni mojawapo wa mishahara katika chuo fulani jijini Dar.
Basic salary 2,160,000.00
House Allowance 216,000.00
Transport Allowance 324,000.00
Gross Salary 2,700,000.00
Absent days 0
LOP 0
Gross Salary Earned 2,700,000.00
Less NSSF 270,000.00
Taxable Income 2,430,000.00
PAYE 616,800.00
Less Advances 0
Less Pharmacy/Hospital 0
Net Pay 1,813,200.00
 
Kama mishahara ya chuo inatoka Hazina allowances hazikatwi kodi, kama ni chuo cha binafsi kodi ni lazima ikatwe.

Fungua calculator ya TRA hapa chini kujua kiwango cha kodi unachostahili kulipa. Chukua gross salary toa 10% ya nssf inayobaki ndiyo utafute kodi

TRA PAYE CALCULATOR
 
Back
Top Bottom