Makato ya M-pesa

Makato ya M-pesa

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,575
Reaction score
12,368
Leo nimeshindwa kutoa pesa naona Ada imepanda kutoka 2,700/- hadi 4,135/- na tozo imepungua kutoka 2,050/- hadi 1,435/-.
Kwa hesabu za haraka jumla ya makato yalikuwa 4,750/- kwa kutoa 55,000/- sasa ni 5,570/-
Au ukiwa kijijini Njombe kuna makato tofauti?!
IMG-20210904-WA0000.jpg
 
Me nimechoka kulalamika. Ila nasubiria kwa hamu na shauku siku CCM ikitoka madarakani na hao wahuni waliopo katika nafasi za uongozi wakiingizwa kiifungoni kutumikia adhabu zao ikiwemo kufilisiwa mali.
 
Halafu nawapigia huduma kwa wateja wanasema nitoe hivyo hivyo haitakatwa hiyo 5,570/- , eti itakatwa 4,135/- , pumbav wananiona mimi bwege eeeh
leo wanakula vichwa vya mwisho mwisho ili wakamilishe bilion 2 zakupanulia mbuga ya burigi
 
Mbona kwangu inaandika 4135 nikitoa hiyo 55000?
 
Kumbe wamepunguza 4750 to 4135!hyo mia 600 tu?waende zao!mi nkajua itakua kama mwanzo au watakata elf3 km 500 hivi!my uuu!!
 
Hapo ukitoa kila siku 55, kujakufika 1,100,000 utakatwa kama laki hivi. Sasa si ndiyo faida?
 
Back
Top Bottom