Serikali ni moja. Kama ulipewa kupitia wizara kumbuka hiyo ni pesa ya Serikali. Angalia mkataba wako na Wizara una terms zipi kabla hujajipa comfort mfuMimi suhusiki, nilipewa fedha na wizara, board ilikuwa haijazaliwa, sinamkataba nao
Wew hulipi kwan?Hongera kwa kulipa
Sema ukweli tu haukuwa na vigezo vya kupewa mkopo.kheri siku apply mkopo...na nikamaliza salama
Hata mimi mkuu. Ila kabla hawajaanza kudai au kukata inabidi wamwambie mdaiwa wanamdai jumla ya shilingi ngani wakionesha mchanganuo wote wa jinsi walivompa hizo pesa.Mimi suhusiki, nilipewa fedha na wizara, board ilikuwa haijazaliwa, sinamkataba nao
mkuu huwezi amini nilikua na vigezo vyote ... ila acha tu ase...namshukuru sana baba yangu na kumuombea sana maisha marefu..maana alikua ana staafu na ana malimbikizo nono enzi mie naanza chuo, akaniambia nitulize kitenesi amalize jukumu lake la mwisho kwanguSema ukweli tu haukuwa na vigezo vya kupewa mkopo.
8 percent of your gross salaryHawa HESLB hata siwaelewi, wanaongea tuu na kupiga kelele. lakini hawasemi makato ni asilimia ngapi ya pato la mtu.
Ndio maana watu wanaohopa wasije jipeleka huko wakaishia kulipa fedha nyingi na kuongeza ugumu wa maisha.
Wanayakiwa kuweka wazi na wadai wachangie ili kuboresha mfumo mzima utakao wapa wepesi warejeshaji.
Vitisho wanavyo toa si njia sahihi, njia sahihi ni kuboresha mfumo.
Mfano mtu kamaliza chuo na kajiajili utampata wapi kwa mfumo wa sasa. Inavyo onyesha hawajajipanga kabisa wanapiga kelele kuogopa rungu la magufuli.
Labda mimi ndio sijui makato yamekaaje , wanao jua watujuze.
kheri siku apply mkopo...na nikamaliza salama
we kwenu c mnapesa ndugu.kheri siku apply mkopo...na nikamaliza salama
Basi vigezo vya kupewa mkopo hukuwa navyo kama baba tayari mstaafu walijua atapewa mafao yake na ataweza kukugharamia ndio maana kulikuwq na kipengele cha wazazi wanajishughulisha na nini?mkuu huwezi amini nilikua na vigezo vyote ... ila acha tu ase...namshukuru sana baba yangu na kumuombea sana maisha marefu..maana alikua ana staafu na ana malimbikizo nono enzi mie naanza chuo, akaniambia nitulize kitenesi amalize jukumu lake la mwisho kwangu
Basi vigezo vya kupewa mkopo hukuwa navyo kama baba tayari mstaafu walijua atapewa mafao yake na ataweza kukugharamia ndio maana kulikuwq na kipengele cha wazazi wanajishughulisha na nini?