Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 3,279
- 17,063
Vodacom ni wajanja sana.
Unajua ni kwa nini wamefanya hivyo? Ukweli ni kuwa miamala baina ya wakala na wakala yameongezeka sana.
Huku miamala baina ya mteja na wakala ikipungua.
Kwa sababu, mteja anaenda kwa wakala. Anaongea naye atumiwe fedha, wakala anapewa kiasi kidogo cha fedha. Labda kwa laki nne, anapewa 2,000.
Anamtumia wakala mwenzake kwingineko, naye anapewa 3,000.
Maana yake ni kuwa, wakala anafaidika kwa hela nyingi kuliko Commission ambayo angepata kutoka Vodacom.
Hivyo ili kukomesha tabia hiyo, wameanzisha utaratibu huo ili kulazimisha wakala atume fedha kwa mteja na siyo wakala mwenzake.