Makato kwa wakala wa M-pesa wakati wa kubadilishana floti

Vodacom ni wajanja sana.

Unajua ni kwa nini wamefanya hivyo? Ukweli ni kuwa miamala baina ya wakala na wakala yameongezeka sana.

Huku miamala baina ya mteja na wakala ikipungua.

Kwa sababu, mteja anaenda kwa wakala. Anaongea naye atumiwe fedha, wakala anapewa kiasi kidogo cha fedha. Labda kwa laki nne, anapewa 2,000.

Anamtumia wakala mwenzake kwingineko, naye anapewa 3,000.

Maana yake ni kuwa, wakala anafaidika kwa hela nyingi kuliko Commission ambayo angepata kutoka Vodacom.

Hivyo ili kukomesha tabia hiyo, wameanzisha utaratibu huo ili kulazimisha wakala atume fedha kwa mteja na siyo wakala mwenzake.
 
Kwa hiyo wateja mnapenda tozo?
 
Mkuu hii ni simple tu, mawakala wataacha kuwahudumia wateja wa VODA (MPESA).

Wateja wakikosa huduma za VODA wataamua kutumia mitandao mingine kufanya transaction.

Then,MPESA itajifia kifo cha kawaida. Kwa kawaida mtu akitoa shilingi 600,000 wakala anapata kamisheni kama shilingi 2000 hivi. Sasa wakala akitaka kubadilisha hii float ya 600,000 aliyoipata ili imuwezeshe kumuhudumia mteja mwingine anayehitaji cash atakatwa makato ya 3,300.

Sasa wakala hawezi kupata commission ya 2,000 alafu akabadili float kwa 3,300.
Hii itatumika pale mie nakuja kwako wewe Kama wakala nakuambia tuma kwa wakala huyu hapa yupo kijijini Kegonga, Keribho, Ghebaso, Nyasincha aama Masanga Kama sio Ketawasi.

Halafu Ile gharama ya kutuma wanayokula voda see wanakupa kiduchu Sana utachukua nusu. Halafu huyo wakala aliyepo hivyo vijijini akimpatia niliyemtumia achukue hela kwa wakala atamkata nusu ya makato.
So ngoma ama maisha yatasonga.
 
Vodacom ni wajanja sana.

Unajua ni kwa nini wamefanya hivyo? Ukweli ni kuwa miamala baina ya wakala na wakala yameongezeka sana.

Huku miamala baina ya mteja na wakala ikipungua.

Kwa sababu, mteja anaenda kwa wakala. Anaongea naye atumiwe fedha, wakala anapewa kiasi kidogo cha fedha. Labda kwa laki nne, anapewa 2,000.

Anamtumia wakala mwenzake kwingineko, naye anapewa 3,000.

Maana yake ni kuwa, wakala anafaidika kwa hela nyingi kuliko Commission ambayo angepata kutoka Vodacom.

Hivyo ili kukomesha tabia hiyo, wameanzisha utaratibu huo ili kulazimisha wakala atume fedha kwa mteja na siyo wakala mwenzake.
Ila kwa kufanya hivyo ndo wameharibu biashara yao kiukweli. Mawakala wengi watafunga biashara hizi.
 
Back
Top Bottom