Makarani wa sensa, kuna nini kwenye zoezi hili?

Makarani wa sensa, kuna nini kwenye zoezi hili?

Thabit Karim

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
404
Reaction score
830
Serikali ilitakiwa kuchukua watumishi wa umma kwenye zoezi hili kwa 100%. Kuna kesi Kibao tunazisikia, mara makarani wamekimbia na hela, mara makarani wamepotea na vishikwambi, mara makarani wameibiwa vifaa vya zoezi.

Serikali ilitakiwa kuchukua watumishi wa umma kwa 100% na kuachana na hawa vijana wa mtaani ambao wengi wao hawajui Kazi na hawana uchungu na serikali yao.

Naimani Serikali imejifunza kupitia hili.
 
Umeaongea sana mkuu. Jumlisha na hizi picha za hovyo hovyo za hawa makarani wa mtaani yaani hakuna faragha hawajui maadili ya kazi. Serikali yetu isirudie kuwapa watu wa mtaani hizi kazi. Wanaongeza hasara zaidi ya faida. Wangepewa tu watumishi 100% angalau.
 
Hivi watumishi mnajikuta akina nani? Kila kitu nyinyi? Kusimsmia kupiga kura nyinyi, kila kitu mnatakaga mfanye nyie mshahara juu ya mshahara.

Tabia ya wizi ni mbaya, ila hata huyo mtumishi naweza ibiwa.

Lakini pia hii sensa imejaa watumishi wa serikali tukianza na ma headmaster na wasaidizi wao.

Imagine kazi wanamnyima graduate mwenye miaka 5 mitaani hana kazi anapewa mkuu wa shule mwenye mshahara na malupulupu kibao.

Poleni wadodo zangu walokosa hizi kazi, pambana na hali zenu.
 
Vijana hao
Screenshot_20220825-062207.jpg
 
Ubinafsi umekujaa..... Na kwa taarifa yako safari hii watumishimmetupiliwa mbali, waliopata ni kama 0.02% tuu😜😜😜
 
Makarani ambao sio waajiriwa wa serikali kuweni makini, mtajuta kwanini mliingia.Kuweni serious vinginevyo mtaharibu image yenu huko tuendako.Malipo ya awamu zote weka kwenye kibubu bakisha nauli na hela ya msosi ila sensa ikiisha mwagilia moyo mpaka uzaliwe mwingine ukianzia na "Captain Morgan"
 
Makarani ambao sio waajiriwa wa serikali kuweni makini, mtajuta kwanini mliingia.Kuweni serious vinginevyo mtaharibu image yenu huko tuendako.Malipo ya awamu zote weka kwenye kibubu bakisha nauli na hela ya msosi ila sensa ikiisha mwagilia moyo mpaka uzaliwe mwingine ukianzia na "Captain Morgan"
Unataka vijana wafe yaan wapige RUM?
 
Nadhani kuweka wwatumishi wa umma tu sio suluhisho huko nako kuna wahuni pia. Kikubwa ni usimamizi mzuri tu, kwani hata akikimbia atapatikana tu si waliweka wadhamini na namba za Nida
 
Zoez lineshafeli kitend Cha kuwapa makind na alibina Chua kusimamia zoez muhimu Kam hili Ni kosa pale juu angetakiwa mwanaume tu makinda hata bunge lilimshinda akawa analialia tu leo hi ndio awe cammisioner kweli hpn zioni zoez hili likifanyika kwa ustadi na kuisha kwa watu wote kuhesaabiwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom