Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,064
- 3,011
Wajumbe wengine kusoma hawajui bwashee.. na wengine ni wazee mno kutembea siku nzima hawawezi piaHili zoezi lingefanywa na wajumbe wa mitaa. Lingepunguza gharama sana. Pesa ingetumika ktk Mambo mengine ya kijamii kwa maendeleo