Makapuku Forum

Niko JF mwaka Wa NNE huu sio maarufu kivile wala sitaki umaarufu kwa kulazimisha ..


Halafu hivi unaanzaje kujiita kapuku ..

au kwasababu hujuani na the boss au nyani ngabu au Lara 1

any way nadhani self underestimation imehusika hapa na inferiority complex.

Good luck with your movement .

be careful JF ina wenyewe .
 
Who asks for your opinion???
Cc sizzya007
 

Thanks for the goodluck wishes.
Ila unatakiwa ujue kitu kimoja, kwetu sisi neno KAPUKU ni neno ambalo tumelipa value ya juu kabisa, noble value!! Hivyo basi sisi kujiita makapuku wala isikupe shida, its our choice and will stand and die for it if neccessary!!

Kuhusu umaharufu, hiyo huwa ni resultant tu, hamna mtu ambaye huwa anakaa chini na kuengineer kuupata umaarufu, kama yupo basi huyo ni extraterrestial being!!!

And i feel sad haujaelewa the whole concept ya hii movement! Na ninahisi wengi hawajaielewa.
 
Hakuna anaetaka kujuana na the boss sijui lara1 sijui ngabu hapa dharau zipungue tueshimiane na tuelekezane sio kujifanya mkubwa hapa jf kisa una miaka 10 na zaidi hapa
 
Hata kama watapunguza likes zetu, support yetu ya MAKAPUKU itaendelea kuwepo palepale.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…