Mkuu nipe dili Mimi najua sheria za ardhi(Land law) na nyingine kibaowakuu mambo vipi...?mimi ni kijana najishughuliasha na mambo ya real estates tuna kampuni ya upimajibwa viwanja...tuna miradi mingi sana uko kigamboni na sehemu nyingine nyingi..lengo langu hapa nnatafuta mtu makini san anaeweza kufanya mambo ya marketing hata kama ajasomea koz siamini sana katika shule naamini katika kupata matokeo,nataka tufungue kampuni ya mauzo ya viwanja,viwanja vipo vingi sana nahitaji mtu awe result oriented na awe anajituma sana kutafuta masoko na awe amtu wa kufanya networking..kitakachopaikana ni chetu wote kutegemea na tutakavyo kubaliana..siangalii jinsia wala elimu nataka mtu hardworker..ni pm kana uko tayari.
Tatizo mikia porojo nyingi hawa
Show za wikendi huwa zinafanyika kimya kimya braza.kumbe mngetoa taarifa.
Chama cha .....malizia kabisa kuwa ni timu ya chama pia.
Mie ntamtumia kwa V Money akiwa huko kwa bana ba Congo.Nataka nikupe rambirambi yangu
Itakua wamekwama teh teh teh
Yaone...dua mbaya na kulialia tu
Siyapendi
..............
Duh! Pole sana braza, karibu tena.nimerudi tena... long time kinoma miss a lot Makapu wenzangu
Tuma kwa tigo pesaNataka nikupe rambirambi yangu
Ukipata uniambie, maana mie niko mbali kidogo.Ndio mniachie
Wanapenda sana Julia kulia
Yaone...dua mbaya na kulialia tu
Siyapendi
..............
aah! mimi nilikuwa busy na kazi hvyo nikakosa muda wa kuchungulia pande hiziDuh! Pole sana braza, karibu tena.
Nasikia wengi wanaugua ugonjwa wa kukosa MB, na wewe ilikutokea?
Sio Tanganyika na Zambia?Zimbabwe na Tanganyika
Inabidi tushereheke muungano kwa style yetu babyAsante babe!
Ya kijifungia au ipi baby?Inabidi tushereheke muungano kwa style yetu baby