Oooh ndio mana nimeuliza ulivyomjibu mondray afikie kwako
sababu ungekua na mke lazima ungeenda kushauriana nae kwanza
Sikusoma sana mie Niliishia Form twoBro..! Kilikua Kipind cha umande au
ya jana niniSi ile ya jana... Ha ha ha ha
teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa nini sasa si upo znz njo ushangae maghorofa siku mojaKweli dada..
Anhaa..!! Kumbe yeah ni kwel ukiwa na mke lazima mjadiliane wawili ila kwa bachelor unajadili kwa kichwa chakoOooh ndio mana nimeuliza ulivyomjibu mondray afikie kwako
sababu ungekua na mke lazima ungeenda kushauriana nae kwanza
hapana mondray ni kweliYaaan wewe sikuwez..
yes bachelor ni kichwa chako ndio mshauriAnhaa..!! Kumbe yeah ni kwel ukiwa na mke lazima mjadiliane wawili ila kwa bachelor unajadili kwa kichwa chako
Amna, shida ila maisha si yanaenda, hata hapo ulipo na vip una mpango wa kujiendeleza mrSikusoma sana mie Niliishia Form two
Na shule zetu hizi..
Hahhahahayes bachelor ni kichwa chako ndio mshauri
Naam...!!, kabisaayes bachelor ni kichwa chako ndio mshauri
No umri ushaenda kaka siwez tena..Amna, shida ila maisha si yanaenda, hata hapo ulipo na vip una mpango wa kujiendeleza mr
Ujue mm sipo hivyo kabisahapana mondray ni kweli
hahhaa si kweli mama mchuchuHahhahaha
Endelea kutujuza mkuuJE WAJUA?
Vagitus ni sauti ya kulia ya mtoto aliyezaliwa.
Sawa, ila elimu haijalish una umr gan bro..! Kwan una familia?No umri ushaenda kaka siwez tena..
Ok kakaEndelea kutujuza mkuu
Hapana sina family bro!Sawa, ila elimu haijalish una umr gan bro..! Kwan una familia?
Bas, sawa kamanda, ngoja me niingie mzigonHapana sina family bro!