BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Mkuu obe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
Habar yako?? Hivi kwanin hupendi kuitwa mkuu .....?
Asante mama mchungajiUbarikiwe mkuu Shululu asante kwa magazeti
Za uzima nzuri mama mchungaji, za familiaMorning mkuu Shululu za uzima
Amen mama mchungaji nawe pia[emoji524] ZABURI 33
1.Mpigieni BWANA vigelegele,enyi wenye haki,kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
2.Mshukuruni BWANA kwa kinubi kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
3.Mwimbieni BWANA wimbo mpya ,pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
TUOMBE
Tuna kila sababu ya kukushukuru Mungu kwa kutuamsha salama tukiwa na nguvu na kauli,tunapaswa kupiga vigelegele tukishangilia wema wa BWANA Mungu wetu ambaye umetupa siku ya leo.
Tunaomba toba kwa kwa lolote tulilokukosea.Tunaenda kinyume na roho zote zilizo kinyume nawe MUNGU wetu mwema.
Tunajikabidhi kwako Baba Tembea nasi kuanzia Jumatatu ya leo hadi wiki hii iishe,tunaomba bariki familia,kazi,watoto,wake,waume na ndugu wote.
Tunawaombea wagonjwa ,wafiwa,wenye changamoto zozote tupe amani BABA tunaomba Roho Mtakatifu atufundishe kuishi maisha ya kukupendendeza na kuwa msaada kwa wenzetu,tujazwe upendo,kujali,kuombeana,kusaidiana,kutiana moyo na pia kuwapenda wenzetu ,tukifanya hivyo tunajua Mungu utakua nasi popote tulipo.
Bariki wasafiri nchi kavu,majini,angani wafike salama.
Asante Baba maana utatupa kushinda .
Tuomba yote katika jina la Yesu Amen
SIKU NA WIKI NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Pamoja sana kiongozi ObeBlessedHope na shululu asanteni kwa sala ya kupendana na kutiana moyo asubuhi, asante kwa magazeti.
Makapuku wenzangu tuwe na wiki njema, tuwe na afya njema wiki yote na furaha huku kile tunachofanya kifanikiwe na tukumbuke kusema asante kwa kila anayeiwezesha siku iwe njema. ima ni shoeshiner, ama housegirl/boy, kondakta au mpigadebe au chizi anayekufahamu, daktari au mwalimu, polisi au hakimu, muuza maziwa au mchoma mahindi. Ilmradi tu tuseme asante na kutabasamu.
BH hujambo
[emoji120] Amen Mama.[emoji524] ZABURI 33
1.Mpigieni BWANA vigelegele,enyi wenye haki,kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
2.Mshukuruni BWANA kwa kinubi kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
3.Mwimbieni BWANA wimbo mpya ,pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
TUOMBE
Tuna kila sababu ya kukushukuru Mungu kwa kutuamsha salama tukiwa na nguvu na kauli,tunapaswa kupiga vigelegele tukishangilia wema wa BWANA Mungu wetu ambaye umetupa siku ya leo.
Tunaomba toba kwa kwa lolote tulilokukosea.Tunaenda kinyume na roho zote zilizo kinyume nawe MUNGU wetu mwema.
Tunajikabidhi kwako Baba Tembea nasi kuanzia Jumatatu ya leo hadi wiki hii iishe,tunaomba bariki familia,kazi,watoto,wake,waume na ndugu wote.
Tunawaombea wagonjwa ,wafiwa,wenye changamoto zozote tupe amani BABA tunaomba Roho Mtakatifu atufundishe kuishi maisha ya kukupendendeza na kuwa msaada kwa wenzetu,tujazwe upendo,kujali,kuombeana,kusaidiana,kutiana moyo na pia kuwapenda wenzetu ,tukifanya hivyo tunajua Mungu utakua nasi popote tulipo.
Bariki wasafiri nchi kavu,majini,angani wafike salama.
Asante Baba maana utatupa kushinda .
Tuomba yote katika jina la Yesu Amen
SIKU NA WIKI NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Morning mukongoGoodmorning guys
Aisee1957 - Serikali ya makaburu huko South Africa yatangaza kuwatenga wanafunzi wa chuo vyuo vikuu kutokana na rangi zao.
Duh pole yao1960 - Tetemeko kubwa la ardhi kuwahi kurekodiwa Duniani lapiga huko Chile na kuua takribani watu 2,000.
Kwa kina kumalatunga1972 - Nchi ya Ceylon yabadili katiba na baadae kubadili na jina na kuanza kujulikana kama Sri Lanka.