Mimi sielewi binamu hiyo segment yake inahusu niniAsante mjomba, basi mimi nikajua ni ishu siriazi kumbe ndo segment yako mpya😀, yaani nilidhani unataka kumliza anti yangu
siku nyingine uwe unaniambia mapema, haipendezi nakuwa wa mwisho kujua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asante mjomba, basi mimi nikajua ni ishu siriazi kumbe ndo segment yako mpya😀, yaani nilidhani unataka kumliza anti yangu
siku nyingine uwe unaniambia mapema, haipendezi nakuwa wa mwisho kujua
Mimi sielewi binamu hiyo segment yake inahusu nini
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mi namwona evart tu[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu muite sakayo....!
hhhhhhah binamu unanifurahisha sana hivi utamkubali kweli sweetpieUnacheka nini😵, wewe ukiitwa unakataa wito?
hahhhha akiii nacheka kama mazuriInabidi nishangae tu
Kwani huyo ni m'baba?Hahaaaaa!
Zamani mdada akiniambia lete habari..
Namtongoza hapo hapo..!
Kaah!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ww binamu aliyekua anakuita ni sweetpie
hhhhhhah binamu unanifurahisha sana hivi utamkubali kweli sweetpie
Quote postNakumbuka shemela
AiseeeInaitwa upuuzi wa Lee, anaongea vitu easy easy tu na hutakiwi kuwa serious maana maisha ni mafupi mno
BTW: Nilijua mimi tu nakuwaga wa mwisho kujua, kumbe hata wewe😀😀😀
Quote quote quote.....nyie nawajua kwa kubebana[emoji67]eti leo anajifanya hakumbuki
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ww binamu aliyekua anakuita ni sweetpie
hahahha sasa limoyo lake limemdondokea kwako...lol! Unaongea vitu tofauti, mimi nimeitikia wito tu kwa BH , na kiukweli mimi na Sweetiepie inaonesha tuna mwanzo mzuri sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti kwa kubebana shemela shululu ukujeQuote quote quote.....nyie nawajua kwa kubebana[emoji67]
hahahha sasa limoyo lake limemdondokea kwako
ahhaha binamu mm nafurahi uwe na pumziko upate faraja wala sikuharibii...naona dalili za kuniharibia tena kwa mrembo mpya. Hivi una nia njema na mimi kweli aunt yangu wewe
Shululu anambeba Shunie .....na Shunie anambeba Shululu[emoji41][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti kwa kubebana shemela shululu ukuje