sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 24, 2016 #19,341 aggyjay said: Maisha yanafanya tusauliane kwa mda..Hope wote mu wazima huku! Click to expand... Upo?? Mrembo aggy
aggyjay said: Maisha yanafanya tusauliane kwa mda..Hope wote mu wazima huku! Click to expand... Upo?? Mrembo aggy
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 24, 2016 #19,342 I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 24, 2016 #19,343 Wazee wa mbeleko Bashalona ...............
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 24, 2016 #19,344 Jimena said: Hiyo sio Bible lakini, nadhani ni kile kitabu cha Sila Click to expand... Kitabu cha Sira hakipo kwenye hizi biblia
Jimena said: Hiyo sio Bible lakini, nadhani ni kile kitabu cha Sila Click to expand... Kitabu cha Sira hakipo kwenye hizi biblia
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 24, 2016 #19,345 Horseshoe Arch said: Watu mna misemo ninyi...ngoja tuuingize kwenye hansadi kamili za Bunge la Makapuku ili urasimishwe kisheria...ila hujaweka wazi huyu mume masikini ni mume wa Dar ama mume wa kijijini! Click to expand... Mkuu Leo hujaenda shamba na mama watoto???
Horseshoe Arch said: Watu mna misemo ninyi...ngoja tuuingize kwenye hansadi kamili za Bunge la Makapuku ili urasimishwe kisheria...ila hujaweka wazi huyu mume masikini ni mume wa Dar ama mume wa kijijini! Click to expand... Mkuu Leo hujaenda shamba na mama watoto???
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 24, 2016 #19,346 everlenk said: I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu Click to expand... Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu
everlenk said: I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu Click to expand... Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 24, 2016 #19,347 amaizing said: Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu Click to expand... Shem upo! Hebu njoo kule manuu anakuita
amaizing said: Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu Click to expand... Shem upo! Hebu njoo kule manuu anakuita
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 24, 2016 #19,348 amaizing said: Sie wazima Weekend njema Click to expand... Miss you mpendwa hujambo????? I hope manuu mzima
amaizing said: Sie wazima Weekend njema Click to expand... Miss you mpendwa hujambo????? I hope manuu mzima
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 24, 2016 #19,349 jambilo said: Shem upo! Hebu njoo kule manuu anakuita Click to expand... Nipo Shem manuu nipo nae hapa tunatafakar neno LA leo
jambilo said: Shem upo! Hebu njoo kule manuu anakuita Click to expand... Nipo Shem manuu nipo nae hapa tunatafakar neno LA leo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 24, 2016 #19,350 sumbai said: Miss you mpendwa hujambo????? I hope manuu mzima Click to expand... Haya sasa mke mwenye hekima mmewe hujulikana malangoni pa wazee
sumbai said: Miss you mpendwa hujambo????? I hope manuu mzima Click to expand... Haya sasa mke mwenye hekima mmewe hujulikana malangoni pa wazee
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 24, 2016 #19,351 sumbai said: Miss you mpendwa hujambo????? I hope manuu mzima Click to expand... Missed you more ndugu yangu manuu Mzima sanaaaa.. Tunafurahia maisha hapa
sumbai said: Miss you mpendwa hujambo????? I hope manuu mzima Click to expand... Missed you more ndugu yangu manuu Mzima sanaaaa.. Tunafurahia maisha hapa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 24, 2016 #19,352 sumbai said: Kitabu cha Sira hakipo kwenye hizi biblia Click to expand... Walikitoa
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Apr 24, 2016 #19,353 sumbai said: Upo?? Mrembo aggy Click to expand... nipo sumbai...vp kwema humu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 24, 2016 #19,354 everlenk said: I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu Click to expand... karibu tena mpendwa wetu everlenk maana sio kwa kuadimika huko
everlenk said: I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu Click to expand... karibu tena mpendwa wetu everlenk maana sio kwa kuadimika huko
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 24, 2016 #19,355 Hakikisheni leo posts zinatimia leo
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 24, 2016 #19,356 amaizing said: Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu Click to expand... Asante Mumy ila napita tu....
amaizing said: Karibu mamy tunamalizia weekend kijiwen kwetu Click to expand... Asante Mumy ila napita tu....
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 24, 2016 #19,357 Jimena said: Walikitoa Click to expand... Paroko jambilo tusaidie hapa walikitoa au hawakukiweka kabisa Ukisema walikitoa maaana Yake ni kwamba kilikuwepo kisha wakatichomoa Ila afazali hakipo maaana hicho kitabu kimekataza Haata nisikae na jimena bar kuzungumza mawili matatu
Jimena said: Walikitoa Click to expand... Paroko jambilo tusaidie hapa walikitoa au hawakukiweka kabisa Ukisema walikitoa maaana Yake ni kwamba kilikuwepo kisha wakatichomoa Ila afazali hakipo maaana hicho kitabu kimekataza Haata nisikae na jimena bar kuzungumza mawili matatu
Aziz Ki Mayele JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 899 Reaction score 1,955 Apr 24, 2016 #19,358 everlenk said: I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu Click to expand... Mmh ilo busu lako limenishtua ndotoni asee, hebu rudia tena ili niamini kama nilikua sioti!!
everlenk said: I missed you dears,nawasalimu wote kwa busu takatifu Click to expand... Mmh ilo busu lako limenishtua ndotoni asee, hebu rudia tena ili niamini kama nilikua sioti!!
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,671 Apr 24, 2016 #19,359 Jimena said: Wazima wifi, umepoteaaaa Click to expand... nipo wii.siku nkiwa free ntajimwaga humu
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 24, 2016 #19,360 Jimena said: karibu tena mpendwa wetu everlenk maana sio kwa kuadimika huko Click to expand... Hahahhaha Asante sana humu si walipiga chini Yule kakako nimefichwa now na mwingine hahhahahah
Jimena said: karibu tena mpendwa wetu everlenk maana sio kwa kuadimika huko Click to expand... Hahahhaha Asante sana humu si walipiga chini Yule kakako nimefichwa now na mwingine hahhahahah