Jorowe ni officialMzee wa saa mpya, na sio jorowe tena
NilipatikanaAkili inataka, mwili hautaki
Upo hapo
Hahaha, ile nishaipoteza mkuu ilikuwa tempo tuWewe ndio ulikuwa unatumia kipindi kile Ya Man 6[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahh sasa mtu hutakiwi hujiongezi tu yaan binamu sijampatia mwenzieKawa mkaa [emoji125]
Shemela shululu na nyagei mnahitajika hapa [emoji121]Tusker, Balimi,Safari,Ndovu, na Konyagi Ipi safi kwa kutuliza Mind na kuondoa stress hapo.....?
mambo mremboAsante
tehHata la mapanki haliingii ndani [emoji3] [emoji3]
Nimeikumbuka ile avatarNiambie
Muite mtaasisiSiliwezi hilo jina nimeshazoea binamu
Kawa mkaa [emoji125]
Chibuku mkuuTusker, Balimi,Safari,Ndovu, na Konyagi Ipi safi kwa kutuliza Mind na kuondoa stress hapo.....?
Salama za kwakomambo mrembo
Asante
huyo ni binamu yetuMuite mtaasisi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]...ha hahha, hukosi maswali na ingesemwa niwekwe sebuleni ungeuliza 'kawa baiskeli ya mgeni?
hahahaChibuku mkuu