7/Percy Robert Miller
Anajuliksna pia kwa jina la Master P alikuwa akijishughulisha sana na uprodyuza
Ana biashara kibao
Pia anatoa hisani ya chakula kupitia P Miller Food Foundation
Ana umri wa miaka 44
Utajiri wake ni USD 170 milioni
...........
6/Marshall Bruce Matters III
Anajulikana pia kama Eminem au Slim Shady ana umri wa miaka 41
Anasifika kwa tabia yake ya ukorofi hata kwenye video za nyimbo zake
Inakadiriwa kuwa na utajiri wa USD 190 Milioni
.......