Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,081 jambilo said: Nilidhani nawe umelala mpendwa Click to expand... Sio kwamba watu wamelala Bali wako kiwikiend zaidi
jambilo said: Nilidhani nawe umelala mpendwa Click to expand... Sio kwamba watu wamelala Bali wako kiwikiend zaidi
dekitambi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 663 Reaction score 763 Apr 23, 2016 #19,082 Jimena said: Mkuu wa majeshi unapolala saa mbili inakuwaje hii Click to expand... Uchovu wa jana kuna dada mmoja wa MALAWI alicheza mpaka akavunja kiuno ila usihofuu mimi ni mkuu vijana wapo doria usalama umeimarishwa IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM ndg DEKITAMBI
Jimena said: Mkuu wa majeshi unapolala saa mbili inakuwaje hii Click to expand... Uchovu wa jana kuna dada mmoja wa MALAWI alicheza mpaka akavunja kiuno ila usihofuu mimi ni mkuu vijana wapo doria usalama umeimarishwa IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM ndg DEKITAMBI
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 Apr 23, 2016 #19,083 jambilo said: Uzi umedoda Click to expand... haujadoda bana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,084 dekitambi said: Uchovu wa jana kuna dada mmoja wa MALAWI alicheza mpaka akavunja kiuno ila usihofuu mimi ni mkuu vijana wapo doria usalama umeimarishwa IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM ndg DEKITAMBI Click to expand... Sawa mkuu
dekitambi said: Uchovu wa jana kuna dada mmoja wa MALAWI alicheza mpaka akavunja kiuno ila usihofuu mimi ni mkuu vijana wapo doria usalama umeimarishwa IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM ndg DEKITAMBI Click to expand... Sawa mkuu
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 23, 2016 #19,085 Jimena said: Sasa mi wala simkohoi naona anatafuta kiki tu kunitaja taja bila sababu Click to expand... Ndo ivo .............
Jimena said: Sasa mi wala simkohoi naona anatafuta kiki tu kunitaja taja bila sababu Click to expand... Ndo ivo .............
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,086 Bitoz said: Unasemwa hapa Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni .............. Click to expand... Mtu mwenyewe hana point, sasa alidhani akianzisha uzi wa kujikomba komba kwa wakongwe atatoka ila naona kaangukia pua na likes zake 11
Bitoz said: Unasemwa hapa Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni .............. Click to expand... Mtu mwenyewe hana point, sasa alidhani akianzisha uzi wa kujikomba komba kwa wakongwe atatoka ila naona kaangukia pua na likes zake 11
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,087 jambilo said: Unafagilia vitambi eee Click to expand... We naeeee
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 23, 2016 #19,088 Jimena said: Mtu mwenyewe hana point, sasa alidhani akianzisha uzi wa kujikomba komba kwa wakongwe atatoka ila naona kaangukia pua na likes zake 11 Click to expand... Nilijisikia tu kumjibu but tukiendelea kuwajibu ndo tunampaisha .............
Jimena said: Mtu mwenyewe hana point, sasa alidhani akianzisha uzi wa kujikomba komba kwa wakongwe atatoka ila naona kaangukia pua na likes zake 11 Click to expand... Nilijisikia tu kumjibu but tukiendelea kuwajibu ndo tunampaisha .............
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,089 Bitoz said: Nilijisikia tu kumjibu but tukiendelea kuwajibu ndo tunampaisha ............. Click to expand... Ni kweli, na tutaufanya uzi wake upate replies zisizo na sababu
Bitoz said: Nilijisikia tu kumjibu but tukiendelea kuwajibu ndo tunampaisha ............. Click to expand... Ni kweli, na tutaufanya uzi wake upate replies zisizo na sababu
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 23, 2016 #19,090 Barca ............
shaban lee JF-Expert Member Joined Jul 17, 2015 Posts 311 Reaction score 926 Apr 23, 2016 #19,091 EMMYGUY said: Ni nzuri braza, habari ya maisha! le mdogoz Click to expand... N salama mkuu vp ww na famil n wazimaa
EMMYGUY said: Ni nzuri braza, habari ya maisha! le mdogoz Click to expand... N salama mkuu vp ww na famil n wazimaa
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Apr 23, 2016 #19,092 Bitoz said: Barca ............ Click to expand... Viva Barcelona
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,093 Usiku mwema wote
sizzya007 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2016 Posts 773 Reaction score 2,422 Apr 23, 2016 #19,094 Jimena said: Usiku mwema wote Click to expand... Post ya 20000
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,266 Apr 23, 2016 #19,095 sizzya007 said: Post ya 20000 Click to expand... Uko poa mkuu
sammoo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 701 Reaction score 1,604 Apr 24, 2016 #19,096 habari za hapa mjengoni
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,266 Apr 24, 2016 #19,097 sammoo said: habari za hapa mjengoni Click to expand... Samoo
sammoo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 701 Reaction score 1,604 Apr 24, 2016 #19,098 jambilo said: Samoo Click to expand... naam baba paroko #jambilo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,266 Apr 24, 2016 #19,099 sammoo said: naam baba paroko #jambilo Click to expand... Sema pastor
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,266 Apr 24, 2016 #19,100 Viumbe wanakoroma mda huu