Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,041 xavia jr said: duuuh hadi malmo. Click to expand... Ndio mkuu mpaka Malmö pamoja na kufungwa ila mi nikiwaona uwanjani roho kwatuuuu
xavia jr said: duuuh hadi malmo. Click to expand... Ndio mkuu mpaka Malmö pamoja na kufungwa ila mi nikiwaona uwanjani roho kwatuuuu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 23, 2016 #19,042 Jamani ngariba faiza foxy ana matusi sana...kali ya leo kwenye uzi unaohusu majini...kamtumbua mtu kwa kumwambia..umejipenyeza penyeza kama ushuzi ngomani...
Jamani ngariba faiza foxy ana matusi sana...kali ya leo kwenye uzi unaohusu majini...kamtumbua mtu kwa kumwambia..umejipenyeza penyeza kama ushuzi ngomani...
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,452 Reaction score 69,332 Apr 23, 2016 #19,043 Jimena said: Hakumaanisha vibaya hivyo ndio walivyo mashabiki wa msimbazi Click to expand... Haahaaa mkuu, Sijajua hili kwasababu sifuaatilii mpira kabisa.
Jimena said: Hakumaanisha vibaya hivyo ndio walivyo mashabiki wa msimbazi Click to expand... Haahaaa mkuu, Sijajua hili kwasababu sifuaatilii mpira kabisa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,044 Cobblepots said: Haahaaa mkuu, Sijajua hili kwasababu sifuaatilii mpira kabisa. Click to expand... Ndio hivyoo
Cobblepots said: Haahaaa mkuu, Sijajua hili kwasababu sifuaatilii mpira kabisa. Click to expand... Ndio hivyoo
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 Apr 23, 2016 #19,045 Jimena said: Ndio mkuu mpaka Malmö pamoja na kufungwa ila mi nikiwaona uwanjani roho kwatuuuu Click to expand... duuh umenifurahisha
Jimena said: Ndio mkuu mpaka Malmö pamoja na kufungwa ila mi nikiwaona uwanjani roho kwatuuuu Click to expand... duuh umenifurahisha
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 23, 2016 #19,046 jambilo said: Hata hivyo nilikosea sana Click to expand... Jimena unajua nilikosea kutaka uwe wangu milele kumbe wew.....
jambilo said: Hata hivyo nilikosea sana Click to expand... Jimena unajua nilikosea kutaka uwe wangu milele kumbe wew.....
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 23, 2016 #19,047 Jimena said: Ndio mkuu mpaka Malmö pamoja na kufungwa ila mi nikiwaona uwanjani roho kwatuuuu Click to expand... Hahaha jimenaaa
Jimena said: Ndio mkuu mpaka Malmö pamoja na kufungwa ila mi nikiwaona uwanjani roho kwatuuuu Click to expand... Hahaha jimenaaa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,048 jambilo said: Jimena unajua nilikosea kutaka uwe wangu milele kumbe wew..... Click to expand... Acha siasa wewe yaliyopita yamepita mi nimeshasahau kabisaaaa kuhusu hayo
jambilo said: Jimena unajua nilikosea kutaka uwe wangu milele kumbe wew..... Click to expand... Acha siasa wewe yaliyopita yamepita mi nimeshasahau kabisaaaa kuhusu hayo
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,049 jambilo said: Hahaha jimenaaa Click to expand... Niambie mtumishi........
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,426 Apr 23, 2016 #19,050 raia mnalisongesha kama kawa..
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 23, 2016 #19,051 Jimena said: Wifi...... Habari ya weekend? Click to expand... Ni poa sana my wii Mzima wewe? Nipo na Kaka ako tunafurahia weekend
Jimena said: Wifi...... Habari ya weekend? Click to expand... Ni poa sana my wii Mzima wewe? Nipo na Kaka ako tunafurahia weekend
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,052 xavia jr said: duuh umenifurahisha Click to expand... Hahahahahaha ndio hivyo......
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 23, 2016 #19,053 Jimena said: Glory Glory Manchester United Click to expand... Wii kumbe wote tunapenda timu ya ukweli
Jimena said: Glory Glory Manchester United Click to expand... Wii kumbe wote tunapenda timu ya ukweli
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,054 amaizing said: Ni poa sana my wii Mzima wewe? Nipo na Kaka ako tunafurahia weekend Click to expand... Safi sana wifi
amaizing said: Ni poa sana my wii Mzima wewe? Nipo na Kaka ako tunafurahia weekend Click to expand... Safi sana wifi
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,055 amaizing said: Wii kumbe wote tunapenda timu ya ukweli Click to expand... Tunajua vitu vizuri eti,
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 Apr 23, 2016 #19,056 Jimena said: Sio jina tu, hata wewe mwenyewe pia ni kikwazo Click to expand... duuuh vibaya hivyo mdada
Jimena said: Sio jina tu, hata wewe mwenyewe pia ni kikwazo Click to expand... duuuh vibaya hivyo mdada
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 23, 2016 #19,057 Jimena said: Tunajua vitu vizuri eti, Click to expand... Kwasababu sie wenyewe wazuri
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,058 xavia jr said: duuuh vibaya hivyo mdada Click to expand... Kivipi???
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 23, 2016 #19,059 amaizing said: Kwasababu sie wenyewe wazuri Click to expand... Sasa kumbe vipi
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 23, 2016 #19,060 Jimena said: Sasa kumbe vipi Click to expand... Uck mwm my wii Ulale Salama