BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Afadhali maana walitumikia hii serikali,nayo ilihusika kuwaingiza katika ajira kwa kutodhibiti mambo hayo.MAGAZETI YA LEO View attachment 508519
MAJI NI KILA KITU WACHA HATUA ZICHUKULIWE
Khaa!ndege bei haizidi ya NOAH mmmh
Hongera Chelsea
Asante kwa magazeti mkuu Shululu asante kwa udhamini dear Shunie Mungu awabariki kaxi yenu ni njema siku njema wote.[emoji120]View attachment 508534Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Shunie,
Nawatakieni jumamos njema na sabato njema
Amen, Asante kwa neno mama mchungaji[emoji524] ZABURI 113
1.Haleluya,Enyi watumishi wa BWANA ,Sifuni,lisifuni jina la BWANA.
2.Jina la BWANA lihimidiwe,Tangu leo na hata milele.
3.Toka mawio ya jua hata machweo yake Jina la BWANA husifiwa
4.BWANA ni mkuu juu ya mataifa yote,Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
5.Ni nani aliye mfano wa BWANA ,Mungu wetu aketiye juu
6.Anyenyekeaye kutazama Mbinguni na diniani?
7.Humwinua mnyonge kutoka mavumbini,Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
8.Amketishe pamojs na wakuu,Pamoja na wakuu wa watu wake.
9.Huweka nyumbani Mwanamke aliye tasa,Awe mama ya watoto wenye furaha
TUOMBE
Mwenyezi Mungu Baba wa Mbinguni asante kwa kutuamsha salama.
Tunaomba utubariki siku ya leo tukinge na hatari mbalimbali na ajali mbalimbali za mwili na roho
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa,wajane ,yatima watie moyo waliopondeka mioyo.
Bariki kazi za mikono yetu,tukumbuke tupate riziki halali.
Uwe kinga yetu siku ya leo tuweze kutenda yanayokupendeza,vinywa vyetu,mawazo yetu,yabariki wengine na kuponya
Leo ni siku ya wamama duniani,watie moyo wamama wote wawe wamama wenye kukupendeza sana na kubariki,wathamini familia na jamii na kutenda mambo ya kukupendeza Mungu wetu.
Asante kwa kuwa utatenda sawa na mapenzi yako Amen[emoji120]
MBARIKIWE SIKU NJEMA[emoji7] [emoji7]
Asante mama mchungaji kwa kuyapitiaAsante kwa magazeti mkuu Shululu asante kwa udhamini dear Shunie Mungu awabariki kaxi yenu ni njema siku njema wote.[emoji120]
Pamoja sana mzee Obe, jumamos njemashululu na BlessedHope asanteni kwa magazeti na sala. Sitochoka kusema mnafanya Makapuku forum iamke na kuanza vizuri.
Mdhamini Shunie asante kwa kuwezesha. Siku moja moja udhamini gitaa niwe nakuimba ...ewaaa wapi auntie shunie mudhamini ya gitaa...la la la la, hebu nidhamini kwa BH
Ngoja niende kwa maveterani hapo jeshini nikazimue
Asante Obe ubarikiwe nyuzi zilinilaza unono,nilifurahi sana[emoji120]kwa maveterani,polepole Obe tunakuhitaji sana sana .shululu na BlessedHope asanteni kwa magazeti na sala. Sitochoka kusema mnafanya Makapuku forum iamke na kuanza vizuri.
Mdhamini Shunie asante kwa kuwezesha. Siku moja moja udhamini gitaa niwe nakuimba ...ewaaa wapi auntie shunie mudhamini ya gitaa...la la la la, hebu nidhamini kwa BH
Ngoja niende kwa maveterani hapo jeshini nikazimue
SawaTuletee na top ten ya huku JF mkuu. Kwasababu huku nako kuna misambwanda ya kutosha.
Hii serikali ni katili haina huruma
Shida ilikuwa ni nini1958 - Msafara wa Makamu wa Rais wa Marekani Richard Nixon washambuliwa na waandamanaji wa Kimarekani huko katika ziara yake nchini Venezuela.