Mkuu ni ishu ya kweli tumekutana Mikocheni TCU nilikuwa na mitikasi si unajua watoto wa Uswaz tusipotembea tunawashwa miguu?
Nimefurahi kuonana nae LIVE
...............
Just aimple
Acha hizo ww.
Ukizoeana na mtu humu Jf utazijua hadi swaga zake na hata ukionana nae LIVE utajua tu km ni fake au original
....................
Just aimple
Acha hizo ww.
Ukizoeana na mfu humu Jf utazijua hadi swaga zake na hata ukionana nae LIVE utajua tu km ni fake au original
....................