Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Kuwa addicted kabisa
nipo hapa mkuu, nmepewa madaraka ya kulevya
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huko morogoro jiulize kwanini alishindwa kufika ileje
Ameshautangazia umma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela shululu kaua
Utafiti kama vyura wa kihansiHongera sanaa mzee wa chura hivi hao chura unawafanyiaga nini
Mtoto wa mjini huyo mwache ale burgerNdio angalau ange mkaribisha hata juice peke yake
Nilikuwa naipitia hiyoView attachment 506972Cc Chaplin
Mkuu endelea kutekwa tumbona wafupi mnatunyanyasa Sana?
Sawa shem waneusiku mwema jamaan mlale unono mlindwe na damu ya Yesu
lee wangu nimejitahidi kukusubili mpk sasa hivi naona kimya shemela shululu aliniambia sa 6 ndio mida yako
nalala kipenzi changu Mungu akulinde huko uliko akufanyie wepesi ktk kila unachofanya [emoji120] shunii loves u much much [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ulale salamausiku mwema jamaan mlale unono mlindwe na damu ya Yesu
lee wangu nimejitahidi kukusubili mpk sasa hivi naona kimya shemela shululu aliniambia sa 6 ndio mida yako
nalala kipenzi changu Mungu akulinde huko uliko akufanyie wepesi ktk kila unachofanya [emoji120] shunii loves u much much [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Naona unajitete mapema mkuu maana vyakula vyenu vya mjiniMtoto wa mjini huyo mwache ale burger
Cc shululu
Cc Shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona mkalimani
[emoji106]uck mwema wakuu acha alipe bill huyu kiumbe !
Ila unajitahidi kidogo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado sijafaulu
Niliyonayo inatoshaUkipewa hiyo ajira nitakuwa nakuita sajenti
AmenWakuu usiku mwema ibada ni bora kuliko usingizi
Tushukuru kwa yote kupata kukosa yote ni majibu yake mungu
Tusichoke kuomba
Vyakula vyetu ni ugali wa muhogoNaona unajitete mapema mkuu maana vyakula vyenu vya mjini
Kiasi tuIla unajitahidi kidogo mkuu