Makapuku Forum

8/Serbo--Bulgarian War1885
Hii ilitokea mwaka 1885 ambapo Serbia iliamua kuingia vitani kupambana na Bulgaria ikipinga kuwa sehemu ya Bulgaria(kutaka kujitenga)
Lakini matokeo yake wakaambulia kichapo na kushindwa vita kwa aibu
Vita ilidumu kwa siku 14
........
 
Asante kwa historia mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…