Makapuku Forum

Looo!!
Makapuku mnachati kwa mwendokasi.
Pages nyingi sana tangu niingie hapa leo ambazo natakiwa nizipitie mbele
Usiogope mwifwa we fuatilia kwa kasi yako ya kawaida huku mwendo wa kukimbia tu


Samahani mkuu mwifwa jila lako linanipa utata kidogo nikirudi kwenye lugha ya huku kwetu ( mwiba)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…