Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapana JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa
Bitoz shukuru kwako sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder