Makapuku Forum

Kama kawaida Makapuku wenzangu, kumekucha.
Tuansubiri segmenti za Historia (hivi Ijumaa hii kitu huwa inakuwepo) ikiambatana na picha zake, kisha tunapata UF na kinachofuata ni kujamiiana tu (socializing)
 
1972 - Clyde Tolson anastaafu rasmi kama Naibu Mkurugenzi wa shirika la upelelezi la Marekani FBI.

Hiyi ni baada ya kuandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake siku chache tangu kutokea kwa kifo cha swahiba wake wa siku nyingi J. Edgar Hoover.

Ikumbukwe Hoover na Tolson walikuwa ni marafiki wa karibu sana ambao waliongozana wote kwenda kazini, kwenye chakula hata sehemu za starehe kama vile club.

Alipokuja kufariki, Tolson alizikwa karibu na kaburi la Hoover.

Nae hakuwahi kuoa wala kupata mtoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…