3/The Indian Famine
Hii njaa ya aina yake ilitokea mwaka 1769 nchini India
Iliua thwluthi moja(1/3) ya Wahindi wote kiasi cha maiti kuzagaa mitaani km matakataka
......
5/The Deadliest Drought
Ukame huu uliikumba China kati ya mwaka 1976 hadi 1979 unaambiwa mito ilikauka kiasi mtu ungeweza kuweka godoro na kulala
Ilisababisha vifo zaidi ya milioni 10
.....