Makapuku Forum

niwatakie usiku mwema mlale unono mashemela wa mm

damu ya Yesu iwalinde na kuwatakasa

nawapenda sana
kumbatieni wifi zangu

kama hamna kumbatieni mito yenu na baridi hili kama mpo wenyewe poleni sana
Nawe pia damu ya yesu ikuzingire

Kumbuka kujikabidhi kwa mungu kabla usingizi hauja kuzidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…