7/The King Cobra
Huwa na urefu wa futi 15.6 hadi 18.8
Wanapatikana kwa wingi India na Indonesia
Mkubwa zaidi kuwahi kurekodiwa amehifadhiwa huko London kwenye Zoo akiwa na urefu wa futi 18.8
..
....
9/The Colombian Red Tail Boa
Wanapatikana huko Colombia
Majike huwa na urefu wa Futi 7 hadi 10 wakati madume huwa na urefu wa futi 6 hadi 8
Wana rangi ya kuvutia mkiani inayoendana mazingira ya misitu waliyopo
.......