Wanasayansi bwana!
Mchapo. Jamaa wa NASA walienda na BIC mwezini zikagoma kuandika kwa sababu sijui hakuna gravity na presha ni kidogo. Waliporudi wakafanya utafiti mpaka wakaweza kutengeneza kalamu zenye wino maalum usioathiriwa na gravity wala presha kwa kutumia zaidi ya dola milioni 30. Warusi wao wakaenda anga za juu na penseli tu na hawakuwa na tatizo lo lote!