Makapuku Forum

Asante mkuu obe kwa sauti murua kabisa
 
AJ atakasambaratisha haka kazee round za mwanzoni kabisa
Hizi ni ndondi mkuu na siyo kandanda, basketball au golf. All it takes is one good punch and lights out...and the bigger they're the harder they fall. Klitchiko ana tabia ya kuchoka mapema na Joshua akiwa mvumilivu na mwangalifu wakavuka raundi ya 4 au tano hivi basi anaweza kumtandika. Lakini akipaparika halafu ashindwe kummaliza, Klitchiko anajulikana kwa konde la kulia ambalo hata likikukosa mvumo wake tu unaweza kukupeperusha.

Klitchiko akidundwa nitafurahi. Joshua bado kijana, ana bashasha na ataweza kuifufua heavyweight division...
 
Binamu asante sana hahahha uliongea habari za saa yako ujue unanifurahisha sana
 
Binamu asante sana hahahha uliongea habari za saa yako ujue unanifurahisha sana


Ha hahahahah, ukifurahi nami nafurahia. Seriously, ninapoandika kuhusu saa yangu si kwamba nina makidai, wala nawaringishia Makapuku ( najua wengi wana saa) la, ni kitu cha kujivunia kuwa na saa.

Hebu sikiza nyimbo hizo nilizotaja na kuimbwa Bill mwenyewe sio waliozirudia

Ndo maendeleo, nimeanza na saa. Nikitaka simu ya tachi nitawashirikisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…