Kwako Mpenzi
BlessedHope,
Salaam, ama baada ya salamu napenda kukujulia hali yako ewe kipenzi cha moyo wangu uliye mbali na upeo wa kiibodi siku za hivi karibuni. Ama kwa hakika ukimya wako umekuwa pigo kubwa sana kwangu. Nakuomba mara upatapo ujumbe huu unifahamishe kama nina nafasi katika moyo wako.
Wako katika mapenzi ya Kiibodi,
Rogie