Makapuku Forum

1961 - Bay of Pigs Invasion: Kundi la Wacuba waliokuwa uhamishoni linaingia ndani ya Bay of Pigs kwa ajili ya kumuondoa Fidel Castro.

Kundi hilo lililokuwa linafadhiliwa na na kufundishwa na CIA lilichemsha katika operesheni hiyo.
Ndo propaganda nilizoongelea
Marekani kamwe huwa hawezi kushinda vita mahali penye wananchi wazalendo na wanaojitambua

Hata kwa mapanki propaganda haziwezi kutumika kwahiyo USA hana chake
....
 
Mkorea Bado hana silaha za kubwa kiasi iko km unavyofikiria
Lkn yupo kwenye process za kuwa na silaha nzito zaidi
Kila kitu kinachofanyika korea kinajulikana na nchi za magharibi

Nakumbuka hata Sadam hussein alikuwa jeuri kuliko hata huyu wa irani na North Korea
Lkn tunajua kilichotokea

Kwahiyo USA pekee ndo anayo hiyo teknolojia?
Tupunguze kuwapa vichwa Wamarekani kwa kila kitu...tukubali hii siyo enzi ya ujima kwamba wao pekee ni wajuzi wa kila kitu
....
 
Ndo propaganda nilizoongelea
Marekani kamwe huwa hawezi kushinda vita mahali penye wananchi wazalendo na wanaojitambua

Hata kwa mapanki propaganda haziwezi kutumika kwahiyo USA hana chake
....
Haswaa mkuu. Halafu huwa hana ubavu wa kwenda vitani pekee yake bila msaada wa Nato.

Rejea Vita ya Vietnam, Vita ya Ghuba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…