Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,002 Apr 15, 2017 #164,701 Bitoz said: Click to expand... Mungu awalaze mahali pema peponi
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Apr 15, 2017 #164,702 Mndali ndanyelakakomu said: Duuuh haya mambo tuyaangalie kwa jicho la tatu Click to expand... Yaani Ni ajabu wakaliacha halafu ije ijirudie tena baada ya muda
Mndali ndanyelakakomu said: Duuuh haya mambo tuyaangalie kwa jicho la tatu Click to expand... Yaani Ni ajabu wakaliacha halafu ije ijirudie tena baada ya muda
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 15, 2017 #164,703 Sakayo said: Aisee Inauma sana kwa kweli, vijana ni wadogo mnoo jamani Click to expand... Kifo hakina umri Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja Hivyo ukisema wamekufa mapema kuna wengine pia mapema zaidi yao ...
Sakayo said: Aisee Inauma sana kwa kweli, vijana ni wadogo mnoo jamani Click to expand... Kifo hakina umri Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja Hivyo ukisema wamekufa mapema kuna wengine pia mapema zaidi yao ...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,002 Apr 15, 2017 #164,704 Sakayo said: Saana Ndo ugonjwa wangu Click to expand... umeshambiwa usubili singeri ya manfongo
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 15, 2017 #164,705 Sakayo said: Yaani Ni ajabu wakaliacha halafu ije ijirudie tena baada ya muda Click to expand... Nimejaribu kufutiria mijadala mingi kuna watu hawana utu na watu wengne
Sakayo said: Yaani Ni ajabu wakaliacha halafu ije ijirudie tena baada ya muda Click to expand... Nimejaribu kufutiria mijadala mingi kuna watu hawana utu na watu wengne
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Apr 15, 2017 #164,706 Shunie said: umeshambiwa usubili singeri ya manfongo Click to expand... Hahaha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,002 Apr 15, 2017 #164,707 Sakayo said: Aisee Inauma sana kwa kweli, vijana ni wadogo mnoo jamani Click to expand... wadogo sana pole sana kwa familia zao
Sakayo said: Aisee Inauma sana kwa kweli, vijana ni wadogo mnoo jamani Click to expand... wadogo sana pole sana kwa familia zao
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 15, 2017 #164,708 Shunie said: njo unipige nacho Click to expand... Sina hiyo tabia ya kupigapigaa
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Apr 15, 2017 #164,709 Bitoz said: Kifo hakina umri Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja ... Click to expand... Hakina umri ndio ila kuna kifo ambacho kinaumiza zaidi ya tunavyofikiri... Mtu sio mgonjwa, kaenda kazini halafu mnaletewa marehemu!!!
Bitoz said: Kifo hakina umri Nilimpoteza best friend akiwa na 21 yrs tu niliyepishana nae kuzaliwa kwa siku moja, tumezaliwa mwezi mmoja, mwaka mmoja ... Click to expand... Hakina umri ndio ila kuna kifo ambacho kinaumiza zaidi ya tunavyofikiri... Mtu sio mgonjwa, kaenda kazini halafu mnaletewa marehemu!!!
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 15, 2017 #164,710 Sakayo said: Basi Sawa Ndo namkanda hapa, taratibu Click to expand... Mengine baki nayo moyoniii
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,002 Apr 15, 2017 #164,711 Sakayo said: Hahaha Click to expand... unacheka kama mazuri ila dada nawe n mchochezi
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Apr 15, 2017 #164,712 lee empire said: Mengine baki nayo moyoniii Click to expand... Naona imepenya hiyo
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Apr 15, 2017 #164,713 lee empire said: Sina hiyo tabia ya kupigapigaa Click to expand... Hahaha
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Apr 15, 2017 #164,714 Shunie said: wadogo sana pole sana kwa familia zao Click to expand... Yaani
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 15, 2017 #164,715 Shunie said: aisee kwa nyuma ndio wanapiga Click to expand... Ushapigwaaa ??
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,002 Apr 15, 2017 #164,716 lee empire said: Ushapigwaaa ?? Click to expand... sijawahi na sitawahi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,002 Apr 15, 2017 #164,717 Sakayo said: Yaani Click to expand... inasikitisha sana sana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,002 Apr 15, 2017 #164,718 Sakayo said: Naona imepenya hiyo Click to expand... acha uchochezi
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Apr 15, 2017 #164,719 Bitoz said: Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Apr 15, 2017 #164,720 Shunie said: inasikitisha sana sana Click to expand... Mungu awalaze pema