Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Umewaona washikajii zako ??Monaco on fire
Mimi nasubiria kuona kama profesa Claudio R wangu kaibahatisha tiketi ya VIP au kapata tiketi ya kawaida ....make fox kuna mda unatamani kuwaangalia mda wote kwa kipindi chao hiki wanachojiaminiii
ANYWAY mhindi tushamalizane nae mapema make hakuna editing ...upande wa pili naiona droo mubashara