mimi mwenyewe nimeshangaa, barca wamekula misumari miwili hivihivi!Yaan leo nimeamua nianze kushabikia mpira, nikaenda kucheki timu yangu ya toka zaman Barca naona wamepigwa na hamu imeisha.....
Naona notification ya onlineactive wapi kala ban
[emoji22][emoji22][emoji22]plz bosi msamehe ni wapi kakukwazaUtani ambao hauna mipaka sina Mimi ...
Mimi nipo muhimu uzima
KweliKweli
Vizurihahahhah nimeshaona Nyagei
Shunie kumbe umeokoka!niwatakie usiku mwema panapo majaaliwa tutaonana kesho
Damu ya Yesu iwalinde nawapenda [emoji120] [emoji120]
Mapema sana shemniwatakie usiku mwema panapo majaaliwa tutaonana kesho
Damu ya Yesu iwalinde nawapenda [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli tuachane tu...
Kakaake upogo wapi sikuhizi?Huna ubavu wa kuniudhi wewe
Alisema hata mwaka[emoji22][emoji22][emoji22]plz bosi msamehe ni wapi kakukwaza
Habari rafikiInspector Mimi nipo
ValentinaKakaake upogo wapi sikuhizi?
Jmn my dada, upo!Kakaake upogo wapi sikuhizi?
Kwema kiongoziHabari rafiki
Unaenda wapi njooo hapa dadanguniwatakie usiku mwema panapo majaaliwa tutaonana kesho
Damu ya Yesu iwalinde nawapenda [emoji120] [emoji120]
Abee NyageiValentina
Mkuuu mzima?2 mkuuu
Inspector wewe kua na amani[emoji22][emoji22][emoji22]plz bosi msamehe ni wapi kakukwaza
Umesamehewa bure my kaka...Jmn my dada, upo!
Nisamehe sana jmn
Nipoo kiasi flani lkn sio sana.
Mambo!