ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Hawa yeboyebo watasubiri sana.News alert; Yanga uso kwa uso na Pharao, Waarabu wasema watatumia Mfumo wa Magufuli & Majaliwa kuwaangamiza,..
Klabu Kongwe katika ukanda wa Africa Mashariki Dar Young Africa leo wanajitupa uwanjani kupambana na timu bora na kongwe barani Africa (National Al Ahly) hatua ya 16 round. Yanga wa kimataifa imejinasibu kuwa ina uhakika wa kumfunga kwa namna yoyote ile..
"tutamfunga Apende asipende kwani nini bhana mbona FCB alifungwa nyumbani" alisikika shabiki wa Yanga akijitamba ..
Kwa upande wa Al Ahly walikuwa hawana maneno mengi "دجبشدبجبجس.دطجفتادسنذباجطفس.بادجفسندبجبا.سددجبدسجبدسب.جبفسدجبا.دس.دجسجس
دجبسبجاجبسانفطبا.سدجبفدجرجثآد.بجدسدبج
"tunakwenda kutumbua majipu na tutatumia falsafa ya viongozi wao wa kitaifa wanazotumia "hapa kazi tu, na kutumbua majipu".
Yanga wanaingia uwanjani wakiwa na rekodi mbaya ya kutowahi kuvuka hatua ya 16 bora tangu michuano hiyo ianzishwe..
wakimataifa
Who?Lizziebittie....u hv got urself a new admiere😉
Kuna MTU humu roho inamuuma babyThank you my love!
Mnaturusha roho sisi wapweke.Bado
Kaza wewe mtoto wa kiume unalia nini sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni nan huyo baby tumpeleke hospital?Kuna MTU humu roho inamuuma baby
Like me and my manuu[emoji12]
Like me and my lovely aggyjayLike me and lizziebettie
Pole sana. Usijali atakuja soonMnaturusha roho sisi wapweke.
Karibu[emoji4]Asante my Wii
Hii ndoa utanishinda kwakweli.Kaza wewe mtoto wa kiume unalia nini sasa?
Naona mkuu umeamua kudandia mali za watu.Bad boy sizya😎😎
Pole sana....... Ila usikate tamaaTafadhali naomba mwambie aombe hata simu ya jirani maana mimi huku niko hoi taabani kama mgongwa wa dengue.
youngblood huyo eti anasema tunawatesa wapweke humuNi nan huyo baby tumpeleke hospital?
Hii ndoa yetu ina shida sana.Pole sana....... Ila usikate tamaa
Hahaa polee yaoyoungblood huyo eti anasema tunawatesa wapweke humu
Mbona mapema sana hivi kijanaHii ndoa utanishinda kwakweli.
Ukiona inazingua achana nayo ufanye Issue zingine[emoji85]Hii ndoa yetu ina shida sana.
Dooh utapigwa risasi ya mguu na my hubby Th NameBad boy sizya😎😎