Mwekahazina umejionea mwenyewe matokeo ukwaju kabisaaaaaaaaaaaUEFA CHAMPIONS LEAGUE
JUVENTUS 3-1 BARCELONA
Shujaa wa mchezo Paulo Dybala
Refarii kutoka Poland Szymon Marciniak ana rekodi nzuri na Juve, mpaka sasa ameshachezesha mechi tano za UEFA pamoja na ya leo. Mechi mbili ni Lyon vs Juventus na Juventus Vs Barcelona ambapo zote Juventus ameshinda.
Tuutazame mchezo wenyewe Juventus waliingia uwanjani sio kupata matokeo tu bali pia kumzuia Barcelona asipate goli kitu ambacho walifanikiwa, counter attack zilifanikiwa maana huwezi kuchezea mpira sawa na Barcelona.
Gerrard Pique na Mascherano waliigharimu Barcelona katika ulinzi hasa goli la pili na la tatu. MSN imeendelea kuwa butu wakiwa wamepiga mipira iliyolenga goli mara mbili.
Asante kwa taarifa mkuuGermany's Borussia Dortmund football team bus hit by explosions
www.bbc.com
Apr 11, 2017 9:41 PM
Borussia Dortmund defender and Spain international Marc Bartra was injured, media reported
Three explosions have hit a bus carrying the Borussia Dortmund football team to a home Champions League match.
Player Marc Bartra was injured and has been taken to hospital but is not seriously hurt, reports say.
The team tweeted (in German) that the other players were safe and there was no danger in or around the stadium.
The game has been postponed until Wednesday. The AFP news agency reported that the bus's windows were broken in the blasts.
North-Rhine Westphalia police said they were at the scene.
A message at Dortmund's Signal Iduna Park tells fans about the bus explosion
Borussia Dortmund were scheduled to play a quarter-final match against Monaco.
It will now be played on Wednesday at 18:45 local time (16:45 GMT).
Dortmund are currently fourth in the German Bundesliga table.
Mi hata pozi sina [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yaan leo nimeamua nianze kushabikia mpira, nikaenda kucheki timu yangu ya toka zaman Barca naona wamepigwa na hamu imeisha.....
Polee sanaJamani asubuhi njema familia yangu
Jana haikuwa choise juventus wametupiga tatu bila [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]