Makapuku Forum

 
MZUNGU NA MBONGO walipanda ndege na
wakakaa siti moja lakini mzungu alijiona yeye
mjanja kuliko mbogo:mzungu akamwambia
mbogo tuulizane maswali wewe ukishindwa
utatoaa 500/= na mimi nikishindwa nitatoa
100,000/= Mzungu akamuuliza Mbongo na
nchigani ilishinda vita kuu ya dunia? Mbogo akatoa
500/= kuashiria ameshindwa :Mbongo nae
akamuuliza Mzungu nikitugani kikienda juu kina
miguu minne na kikishuka chini kinamiguu
mitatu? Mzungu akafikiriaa sana mwisho akakosa
jibu ikabidi atoe 100,000/= Kisha Mzungu akataka
kujua nikitugani hicho akamuuliza Mbongo? Mbongo
akatoa 500/= kumaanisha hajui. Mzungu hoi
......like kama unamkubali Mbongo kuwa anaa akili
nyingi. Lakini unafikiri atakuwa anatokea mkoa
gani?
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…