Jamaniiii mie Niwatakie tu usiku mwema wana familia!!!.
T mume wangu, ni muda wa kulala huu, malaika wa Bwana wakufunike mpenzi wangu.....
Nakumiss sana mie jamani!!!
What happen to you handsome!!! Ope you're doing great!!!
I love you my love, stay safe!!!