Je Wajua:
Kuna movie inaitwa " 100 years: The movie you will never see "
Imemalizwa kuektiwa mwaka 2015 lakini itazinduliwa mwaka 2115 miaka 100 baadae baada ya kutengenezwa.
Ila wazungu jinsi walivyo hamnazo tayari washaanza kununua tiketi za kuhudhuria siku itakapozinduliwa hiyo mwaka 2115 ambapo kwa sasa tumebakiza miaka 98 ili izinduliwe.