National park ya Arusha ni nzuri! I have been there two times.Mkuu trip za arusha national park kwangu ni nyingi na pale snake farm huwa napeleka wageni wangu sana
Alafu nahisi nyoka walikuwa wanatoroka sana park..Nyoka wakubwa balaa
Uko sahihi, kwa ujumla meru patamu sana ukiwa na makazi na pesa mambo swaaafi kabisaNational park ya Arusha ni nzuri! I have been there two times.
Mlima Meru tuu ndo sijapanda! Ila kilimanjaro tayari nishapanda..
Hilo sijawahi skia, inawezekana hasa wale wanaofugwa kwenye mitiAlafu nahisi nyoka walikuwa wanatoroka sana park..
Pale shuleni tulikuwa tunawakuta uwanjani mara kibao yaani.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wewe utakuwa unapiga Bapa kwanza [emoji23][emoji23]
Avatar yenyewe imekaa kibapa bapa
Yes...Hilo sijawahi skia, inawezekana hasa wale wanaofugwa kwenye miti
Uko sahihi, kwa ujumla meru patamu sana ukiwa na makazi na pesa mambo swaaafi kabisa
Kweli mkuuYes ! Patamu sana kule mkuu..
Na mvua ikinyesha ndio utapapenda zaidi..! Mwendo wa kula ndizi tuu
Mzee mkavuWakuu habar zenu za mchana
Wanchomeri wakora wetuBabangu ni habesh wa Ethiopia, maza mtz, nami ni mtz kwa kuzaliwa....nimeishi karibu mikoa yote tz kutokana na nature ya kazi yangu, ninasikia makabila zaidi ya 32, wskiongea natambua ni kabila gani.
Nimeishi mwanza, shinyanga, musoma, tabaora, dodoma, tanga,kilimanjaro , singids na sasa Arusha. Nimesomea Dar tangu nikiwa kachalii kadogo so dar nimeishi muda mrefu zaidi ya mahali popote tangu nizaliwe.
Huko bado ni pori maana ngedere wamejaa hukoBarabara na maji vipi?